Toyota Wish Vs Isis

hayo madude yana engine inaitwa 1zz. ni engine ambayo mwanzo itakufurahisha ila baada ya muda inachoka sana, itakula oil sana. toyota wameacha kuitengeneza , wanatumia 2zr badala yake, ila kwa hayo magari haijawa installed.
 
hayo madude yana engine inaitwa 1zz. ni engine ambayo mwanzo itakufurahisha ila baada ya muda inachoka sana, itakula oil sana. toyota wameacha kuitengeneza , wanatumia 2zr badala yake, ila kwa hayo magari haijawa installed.
Zimetajwa gari nyingi humu kiongozi, unaongelea zipi zenye injini hiyo ya 1zz?
 
Hii gari ni imara sana, sema tu shep kama ulivyosema.Harafu kipaumbele changu ni gari yenye siti nyingi.
kama ni hivyo basi chukua noah mana ina siti nying mpk ukiamua kufanya kitanda inawezekana😀
 
QUOTE="Chinga One, post: 27674864, member: 165688"]kama ni hivyo basi chukua noah mana ina siti nying mpk ukiamua kufanya kitanda inawezekana😀[/QUOTE]
Achukue yutong itamfaa sana, ina siti kama 52 hivi!
 
Sijui WISH, binafsi naendesha Toyota Isis, ya mwaka 2008 ya 1800cc. Kwa wastani inakula km 10 - 12 kwa lita. Shida moja tu kubwa niionayo ni kwamba gari ipo chini.Kama unatembea sana kwenye barabara zenye mabonde makubwa inaweza kukufanya usifurahie kuiendesha. Engine inaflow vizuri sana. Gari ina nafasi ya kutosha na kama bila kujali unaendesha kwenye rough road isiyo na mabonde au kwenye lami... Gari inaflow vizuri sana...
 
Asante Mkuu kwa ushauri wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…