TOYOTA WISH

TOYOTA WISH

Chopa baobao

Member
Joined
Dec 22, 2018
Posts
6
Reaction score
1
Naomba kuuliza mwenya uzoefu wa Toyota Wish toleo 2005 adi 2008 Nimetokea kuipenda saana hii Gari
Nataka kujua matatizo yake pia na ulaji wa mafuta
Je inatulia barabarani vizuri.engine 1790cc.Bajet yangu ni 12milion
Naweza kuagiza kwa bajeti iyo.Naombeni msaada.
 
Kiagiza labda kwa 14m. Hiyo 12m uchukue kwa mtu labda. Nijuavyo mimi.
 
Napenda mistubish outlander, mwenye uzoefu nayo tafadhali
 
Nasikia hizi gari wanavua engine na kueka nyingine maana zake huwa zinakufa kirahisi
 
Napenda kupata maelezo kwa MTU aliewai kuimiliki kuiliko kusikia asante
Mm ninayo gari hyo. Ni nzuri sana lakini usiwe na moja uwe na gari nyingine ya mishe mishe. Ni gari nyororo sana na no rahisi sana kuharibika hasa body lake la fiber na ipo chini sana so km ni mwanaume na una matumizi ya rough huwezi kuifurahia itawahi sana kuchoka.
 
Back
Top Bottom