Chopa baobao
Member
- Dec 22, 2018
- 6
- 1
Kiagiza labda kwa 14m. Hiyo 12m uchukue kwa mtu labda. Nijuavyo mimi.Naomba kuuliza mwenya uzoefu wa Toyota Wish toleo 2005 adi 2008 Nimetokea kuipenda saana hii Gari
Nataka kujua matatizo yake pia na ulaji wa mafuta
Je inatulia barabarani vizuri.engine 1790cc.Bajet yangu ni 12milion
Naweza kuagiza kwa bajeti iyo.Naombeni msaada.
Ulishawai kuimiliki napenda kuijua zaidiKiagiza labda kwa 14m. Hiyo 12m uchukue kwa mtu labda. Nijuavyo mimi.
Sijawahi kuimiliki ila na miliki yenye Engine sawa na hiyo na hata bei zipo sawaUlishawai kuimiliki napenda kuijua zaidi
Bajeti ndogo mzeembona mnapenda gari za chini
Napenda kupata maelezo kwa MTU aliewai kuimiliki kuiliko kusikia asanteNasikia hizi gari wanavua engine na kueka nyingine maana zake huwa zinakufa kirahisi
sijaongelea uwezo namaanisha gari kuwa chini yani kati ya bodi na ardhi.Bajeti ndogo mzee
Nimetokea kuipendasijaongelea uwezo namaanisha gari kuwa chini yani kati ya bodi na ardhi.
as you wish@toyota wish.🙂Nimetokea kuipenda
Mm ninayo gari hyo. Ni nzuri sana lakini usiwe na moja uwe na gari nyingine ya mishe mishe. Ni gari nyororo sana na no rahisi sana kuharibika hasa body lake la fiber na ipo chini sana so km ni mwanaume na una matumizi ya rough huwezi kuifurahia itawahi sana kuchoka.Napenda kupata maelezo kwa MTU aliewai kuimiliki kuiliko kusikia asante