TOYOYA WISH AU TOYOTA RACTS

cpb

Senior Member
Joined
Nov 1, 2014
Posts
156
Reaction score
87
habari zenu wapendwa napenda mnisaidie gari gani ni ngumu kati ya TOYOTA WISH AU TOYOTA RACTS
nahitaji kununua gari ila machaguo yangu ni kati ya magari hayo mawili
nishaurini gari gani itaweza kudumu ambayo haitanisumbua kila siku kwenda services

mawazo yenu ni muhimu sana
 
Reactions: ris
nishaurini gari gani itaweza kudumu ambayo haitanisumbua kila siku kwenda services
- Ukinunua gari ili nzima
- Na service ikafanyika kwa wakati, Kila baada ya KM husika.
- Kamwe hutoenda kwa mafundi kila wakati.
- Kikubwa ni matumizi sahihi na matunzo sahihi.
TOYOTA WISH AU TOYOTA RACTS
nahitaji kununua gari ila machaguo yangu ni kati ya magari hayo mawili
- Chagua yeyote kati ya hizo, Gari brand yeyote ile, Siyo Toyota tu, Ni matunzo na kuzingatia service kwa wakati.
 
mm jamani nimeulizia ugumu wa gari nishaurini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…