TOZO|CORONA: Idadi ya watali nchini imepungua kwa 77%, Mapato yatokanayo na utali yameshuka kwa 87%, Je mnaopinga tozo hadi leo mnalijua hili?

Mbona mnaendelea kuagiza ndege tena kwa cash money?
 
Wapumbavu tuu ndio wanaopinga,kama Wana waume zao Ulaya waende huko wakalishwe vya bure.

Serikali hakuna kutoa tozo ila biashara ya kununua mandege ni upumbavu na matumizi mabaya ya pesa zwtu.
 
Mama Samia tafuta vijana wa kukusemea, Hawa akina Abbas na Msigwa sio wako,

Mimi leo nimeelewa kwanini natakiwa kutoa Tozo, Niliambiwa na Mwigulu nivumilie tu au nihama nchi,

Information is power,

Niko tayari kwa Tozo, Na 2025 mama kura yangu anayo,
 
Miaka yote ya kuchimba na kuuza madini, mapato yake tumeyapeleka wapi?

Iweje tozo ndio ionekane mkombozi wa uchumi???
 
Kwahiyo tozo ndio itasaidia kuziba pengo la forex itokanayo na watalii?
 
Mi ninaunga mkono hii tozo maana hii nchi itajengwa na watanzania wote,sio baadhi ya watu wabebeshwe mzigo wa wengine.Hata ile ya kodi ya pango poa tuu maana watu wakiambiwa walipie hawataki
 
N
Mkuu Kweli tufunge Mkanda wakati watawala wanafakamia Jasho la Mlalahoi Kwa Anasa..??? Kama Kweli Wana Akili kuna haja ya kuendelea na matumizi makubwa ya Serikali?? Never... Nimepunguza Njia za kulipa Tozo bila sababu za Msingi. Wao walipane maposho ya kijinga na magari ya kifahari nihenyeke kuwalipia Never....!!! Wataambulia hicho kidogo Wanachopata...!!!
 
Ha
Tufunge mikanda maviete yawekwe mafuta kwa mishahara ya mawaziri, ikiwezekana yauzwe🐒
Hayo matakataka Hayafai Kabisa Kwa nchi Changa kama Hii... Tuliwacheka Wakongo, Wazimbabwe, Gabon,Afrika ya Kati. Lakini tupo tunaelekea Huko. Matumizi ya Hovyo yasiyoeleweka...!!!
 
Kwani mleta taarifa unadhani ni mtu wa nani?
 
Kweli kabsa sioni sababu ya kutumia mitandao ya simu wakati kuna njia mbadara labda serikali ivamie na huko
 
Umeongea Vizuri ILA hujaongelea Suala la kuvutia watalii kwa kuweka tozo rafiki kipindi hiki badala yake TUNAPANDISHA TOZO ZA UTALII. Yaani hata kwa Commerce ya Form two inakataa principle tunayotumia (when demand is low, price should be low; kwa TANZANIA, when demand is Low, price is High - Shame!
 
Mliamua madawati lazima yawepo kila shule ila leo pamoja na Miti yote hiyo na michango yote na Mabakuli mmnayozunguka nayo kuomba misaada
Ooh watoto hawana elimu nzuri Tusaidieni (tunapewa ) tena za kutosha sana tu ila hatuzioni

Bado watoto wanajisaidia porini kama mbuzi karne hii ya 21

Sawa kateni ila makato yasiwe ya kumuumiza mtu, na tuone mabadiliko kote
 
Tumewaelewa ila Corona ikisepa na Tozo zisepe,

Tatizo lenu hamsemagi ukweli, kama mambo ni haya nani anapinga sasa kwa hali hii,
 
Tozo zinalipwa kwa dola? Watalii wanaleta dola sisi tunakatwa tshs, halafu mpumbavu mmoja anasema tozo ni substitute ya mapato ya utalii
 
Tozo sawa lakini Kamati nzima ya Mkutano mkuu wa ccm ndio unaenda kula bata Zambia kwa pesa hizi hizi za tozo?
 
Sasa hizi ni akili za Mtu kweli?.

Kama shughuli zimeathirika na mapato kupungua Wananchi ndio wameongeza kipato?.

Kwa hiyo kwako Wananchi wameneemeka na athari za corona?.

Serikali saidieni Wananchi katika kipindi hiki kigumu na sio kuwaongezea ugumu wa maisha kwa tozo zisizo na maana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…