Zack Abdul JF-Expert Member Joined Mar 9, 2026 Posts 1,194 Reaction score 911 Sep 21, 2026 #1 Gharama ya umeme inatarajiwa kupanda tena kwa mara nyingine kwa watumiaji wa majumbani na viwandani. EPRA imezindua tozo mpya zitakazoongeza bei kwa takriban Sh4.16 kwa kila uniti (kWh) kwa mita zote zitakazosomwa Septemba 2026. Ongezeko linachangiwa na tozo ya mafuta (KSh 3) na mabadiliko ya sarafu za kigeni (KSh 1.14).
Gharama ya umeme inatarajiwa kupanda tena kwa mara nyingine kwa watumiaji wa majumbani na viwandani. EPRA imezindua tozo mpya zitakazoongeza bei kwa takriban Sh4.16 kwa kila uniti (kWh) kwa mita zote zitakazosomwa Septemba 2026. Ongezeko linachangiwa na tozo ya mafuta (KSh 3) na mabadiliko ya sarafu za kigeni (KSh 1.14).