Tozo Mpya za Miamala: Kuna watu wanataka CCM ishindwe 2025 makusudi. Hatutakubali!

Tozo Mpya za Miamala: Kuna watu wanataka CCM ishindwe 2025 makusudi. Hatutakubali!

Puma yetu

Senior Member
Joined
Sep 23, 2016
Posts
111
Reaction score
125
Haiwezekani wewe Speaker bajeti mbovu inaletwa bungeni inayolenga kuumiza wananchi imekaa unapiga makofi tena unatishia eti wabunge wakigomea bajeti bunge litavunja.

Hamkuwa na nia wala dhamira njema ninyi, mliendekezwa na Mwendazake sasa mnataka makusudi kumuangusha mama 2025, hatutakubali bora muondoke ninyi mtuachie chama chetu. Mlihonga wajumbe 2020 mkiwa na nia ya kwenda kupiga mapambio hamna mnalofanya.

Haiwezekani bunge lenye wabunge 99% wa CCM mmekaa mnapiga makofi mnapitisha bajeti yenye kuumiza kwa kauli moja, bunge limekaa PhD lakini bure kabisa. Huu si uungwana hata kidogo nia yenu si nzima. Wanaccm tuliopo nje hatukufurahia mlichotufanyia kabisa.

Mafuta ya taa tozo, Luku tozo, Miamala ya simu tozo, hivi ninyi mna matatizo gani? Kulikua na ulazima gani wa kupitisha hizi TOZO? Miaka ya nyuma hatukujenga barabara wala huduma zingine hazikuwepo?

Ninyi ni wasaliti no wa taifa hili.
 
Nyie ndio tunaosema ni afadhali wazee wenu wangepiga punyeto mpotee.

Yaani kwenye mambo ya msingi unaleta UCCM.

Kwahiyo wewe yote sawa ila kwenye tatizo ni pale CCM inavyotaka kuangushwa tu?
 
Angalau sasa wote tunaanza kuimba kwenye tune moja. Mkiambiwa hao ma ccm sio watu kabisa huwa mnakaza ubongo.
 
WABUNGE WANASEMAJE?

Kumbukumbu zitabaki kuwa hii ndio bajeti iliyopata kura nyingi za 'NDIO'
 
Hii ndo kodi aliyosema mama kwamba ni ya halali. Kwa kuwa ni halali wacha tulipe tupate kwa ajili ya maendeleo yetu
 
Back
Top Bottom