Tozo ni kwa sababu TRA wameshindwa kukusanya kodi vizuri

Joined
Feb 20, 2017
Posts
62
Reaction score
72
Tatizo hii nchi wameshindwa kukunya kodi vizuri za TRA sababu kuu biashara karibu kubwa zote zinamikono ya viongozi wa hii nchi. Ukiomba risit utapigwa maneno kuwa machne mbovu na mizgo wanayonunua unakuta inapita bandarini bila ushuru.

Matokeo yake wanaona ngoja watumie mbinu yakuwaumiza watu wa chni kwa matozo yakijnga. Na hii pia ni uvivu wakufikria vyanzo vingine vya mapato wanatafuta unafuu sababu ni easy kuipata sababu ipo kwnye system.

Ushauri wangu kwnza tuondoe waziri fedha huyu ambae ni mzigo na tujitokeze katika uchaguzi wa 2025 tuchague upinzani wakutosha hli kupata wasemaji wazuri bungeni ambapo ndio penye maamuzi yote ya muhimu juu ya nchi inavyotkiwa kuendeshwa.

Acheni uvivu na ujinga wa Tanzania.
 
Wataje hao manyang'au tuwashughulikie kama afanyavyo Raila, mkuu 🙂
 
Kuna jamaa yangu aliwahi kwenda kufanya field kwenye Wilaya moja kanda ya ziwa anasema kwamba Mbunge wa eneo hilo alikuwa ana biashara lakini maafisa wa kukusanya Kodi walikuwa wanapita kwenye biashara zake Kama mwizi anavyo pita kituo Cha police

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…