Tozo za Kizalendo zimeanza kuzoeleka, naona kafoleni hapa kwa mangi wa Tigopesa

Tozo za Kizalendo zimeanza kuzoeleka, naona kafoleni hapa kwa mangi wa Tigopesa

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kumbe kila jambo na wakati wake hapa Tegeta kwa mangi wa Tigopesa/ M pesa kuna kafoleni fulani watu wakidraw pesa kwa ajili ya shopping ya weekend.

Kiukweli tusitishane kila mtu anapambana kivyake.

Nawasalimu kwa jina la JMT!
 
We unafikiri watu wote wataikwepa? Wengine wanatoa kwa kadi hapo kwenye agent wa bank
 
Binafsi
Bado natafakari mustakabari wa hili swala la Tozo, Mpaka sasa naona kuna uwezekano wa raia kuhamia bank lakini ile simplicity iliyopo kwenye simu bado inawabakisha wat kweny mobile money services. Still figuring out
 
Kumbe kila jambo na wakati wake hapa Tegeta kwa mangi wa Tigopesa/ M pesa kuna kafoleni fulani watu wakidraw pesa kwa ajili ya shopping ya weekend.

Kiukweli tusitishane kila mtu anapambana kivyake

Nawasalimu kwa jina la JMT!
Kabla ya hizi tozo foleni kwa mangi ilikuwepo?? Isije kua watu wanapanga foleni kutoa pesa kwa card [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Safi sana, maendeleo ya nchi yataletwa na wananchi wenyewe! Kuna watu humu mabingwa kuchangisha hela wananchi, hata sasa kujenga ofisi zao wanachangisha hela wananchi! Serikali kuongea hizo mia mia ili wajenge barabara vijijini imekuwa nongwa, sijui wanataka serikali itoe hela wapi kama siyo kwa wananchi kama wao wanavyochangisha michango kila siku
 
Hata kulipa 200 ya pantoni pale ferry tuliongeaaa lakini hatukuwahi piga mbizi na hadi sasa tunalipa, vivuko vimeboresha na tunavuka

Ni asili ya wanadamu kupinga mabadiliko haswa yale yenye gharama na mazoea

Hata hili Tutazoea tuu hamna
Ni kweli kabisa Vivuko vya Songoro!
 
Hadi sasa inaonekana Mwigullu 1 Bavicha 0
Kwa hiyo bavicha ndio hiyo tozo inawahusu tu!!akili za kiafrika bnana!!wao CCM, hawakatwi hiyo tozo?!!kwa nchi hii hata waseme leo sukari kilo ni tsh.5000 hakuna wa kufanya kitu, watalalamika lakini siku mbili tatu maisha yataendelea!!na ndio mtaji wa ccm huo.upimbi wa wananchi!!unasikia huko waziri anazungumzia eti kiwanda cha chanjo yq corona wakati hospitalini huko panadol tu hakuna!!
 
Kumbe kila jambo na wakati wake hapa Tegeta kwa mangi wa Tigopesa/ M pesa kuna kafoleni fulani watu wakidraw pesa kwa ajili ya shopping ya weekend.

Kiukweli tusitishane kila mtu anapambana kivyake

Nawasalimu kwa jina la JMT!
Tuwekee picha
 
Back
Top Bottom