Tozo za mabenki ni shida

mandokwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2013
Posts
620
Reaction score
865
Hali wakuu...
1. Unamtoza mteja service charge
2. Unamtoza mteja transaction cost kwa kila muamala anaofanya kupitia ATM or service za ndani ya benk....

Bei ya kutoza mnapanga nyie bila kuweka wazi vigezo... huu ni uonevu.... basi tuambieni service charge ni yanini?

Nangu masikini Mandokwa
 
Ndio maana nilishaacha kuweka ela yangu kwenye hizi benki.
 
Hicho cha mtoto,wanakufuata na kukushawishi uchukue mkopo,wanakata processing fees,sijui insurance na bado kuna riba though riba ni muhimu lakini nayo iko juu sana..arrgh!!!
 
Hicho cha mtoto,wanakufuata na kukushawishi uchukue mkopo,wanakata processing fees,sijui insurance na bado kuna riba though riba ni muhimu lakini nayo iko juu sana..arrgh!!!
Umesahau na rushwa wstakuomba[emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
hizi bank zinatuibia wanakopa pesa zetu hawatulipi interest halafu wanatukata pesa zetu wakati wanatumia pesa hizo hizo kukopesha na kununua dhamana za serikali
 
Hela zako umeifadhi zinakatwa kodi[emoji134]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…