Tozo za magari nazo zishuke. Gari ni nyenzo muhimu ya maendeleo kwa nchi masikini kama yetu

Tozo za magari nazo zishuke. Gari ni nyenzo muhimu ya maendeleo kwa nchi masikini kama yetu

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Tuipongeze serikali kwa jitihada inazofanya za kutafuta njia tofauti za kupunguza makali ya maisha kwa kupunguza tozo

Sasa ifikie wakati serikali ione ulazima wa kupunguza ushuru wa magari kwani ni mkubwa mno hata kwa gari lililotumika

Ikumbukwe tu gari ni moja ya nyenzo muhimu ya maendeleo hasa kwa nchi masikini kama yetu

Kumiliki gari si anasa na si dhambi,kodi zikishuka tutashuhudia wakulima vijijini wakimiliki magari yao kwa ajili ya matumizi ya kawaida na mizigo

TRA ushuru ushuke kuwe na uwiano tulipe ushuru kwa % sawa kama tunavyolipia bidhaa nyingine, aipendezi gari yenye thamani ya 6M ije ilipiwe ushuru wa 5M ifikie mahali sasa gari ya thamani ya 6M ushuru uwe laki 8

Ushuru wa gari ulingane na bidhaa nyingine ki %

Vijiji vingi nchini unakuta hakuna gari hata moja!karne hii tuliyonayo hii ni hatari!

Nimalize kwa kurudia kusema gari si anasa kuwa na gari si haramu bali ni nyenzo muhimu ya maendeleokuna mrundi tukiwa nje ya nchi tuliongelea ununuzi wa gari kule na kuleta afrika kwa kweli alishangaa sana aliposikia valuation tax kuingiza gari used nchini mwetu.

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Hawawezi kushusha wao wanapata gari bila kulipa Kodi kwa hiyo yale maumivu hawayapati na pia hawajui kuwa kwa Nchi kama Tanzania swala la magari yakiwa mengi iwe madogo au maroli yanachochea sana ukuaji wa maendeleo wao mpaka kesho wameliweka Gari kwenye kundi la anasa...hayo magari yanayobeba wanafunzi wakizunguka nayo kuwarusha mengine ni hatari wakisikia ajali wanayakagua pana gari za kukagua pale wekeni kodi rafiki kwa school bus na mabus ya mikoani muone vyuma vitavyoletwa Tanzania wakati wenzetu wapo kwenye body ya iriza iq 12 wskianzia iq 7 sisi tuna iriza iq 10 tena wanatumia Azam kama Timu sio abiria kama wenzetu..
 
Back
Top Bottom