reg edit
JF-Expert Member
- Oct 4, 2012
- 402
- 499
Mh. Rais,
Inaonekana hili suala la tozo za serikali kwenye miamala ya simu halijapokelewa vizuri na watanzania walio wengi, hivyo basi mimi nikushauri ujitokeze mbele ya watanzania kwa unyenyekevu kabisa uwaombe watanzania wakubali hizo tozo na uwahakikishie kuwa hizo pesa zitatumika 'effectively' kwenye lengo husika.
Lakini pia hapo hapo utangaze kitu kimoja 'konki' sana kinachohusu kubana matumizi ya serikali yako ambacho kitaonekana na mtanzania yoyote yule, mfano badala ya kuendelea kununua ma-V8 basi zinunuliwe gari za bei ya chini na iwe effectively immediately. Na hapo hapo utangaze kiasi cha pesa kitakachookolewa kwa mwaka huu wa fedha kwa kufanya hilo.
Na ukifanya hivyo basi naamini utapata support ya watanzania, Infact utakua kama ume-balance mambo.
Watanzania wengi tunaona kuwa kodi hazitunufaishi moja kwa moja, badala yake zinawanufaisha wachache wenye madaraka kwa kulipwa posho na mishahara mikubwa.
Yangu ni hayo. Ahsante.
TULIPE KODI KWA MAENDELEO YA NCHI YETU.