Tozo za miamala zitasaidia ujenzi wa Shule zaidi ya 10,000; zahanati zaidi ya 4,500 na vituo vya afya 570 ifikapo 2025. Uzalendo zaidi unahitajika

Umeongea takataka,mavi matupu
 
Nchi zipi mfano!!? Ulishawahi kufanya biashara hata ya genge?
 
Hao walimu na madaktari watatoka wapi? hivi nani kakwambia watanzania wagomjwa sana? binafsi nafikiria tupunguze, kule dar maeneo ya buguruni kipindupindu kilikuwa hakiishi, tangu tuanze kunawa kwa lazima na kuvaa barakoa hamna tena hayo magonjwa ya milipuko
 
Mama akisikiliza wanaharakati atakwama
 
Ningeweza kuwaelewa kama wangeainisha hivyo vituo vya afya, zanati na shule zitajengwa vijiji gan, Kata gani na wilaya gani kwanza ndio tukatwe ili baada ya miaka kadhaa tuanze kuhesabu ni ngapi zilijengwa na ngapi hazikujengwa na watupe changamoto kwann hawakufikia lengo. Msituletee zile propaganda za meko tumejenga viwanda elfu kumi wakiambiwa wavilist tujue Viko wapi hawataki
 
Tunawasomi zaidi ya 3M hawana ajira,Hizi shule na Hospitali zitapunguza tatizo la ajira,
 
Tunawasomi zaidi ya 3M hawana ajira,Hizi shule na Hospitali zitapunguza tatizo la ajira,
kwahiyo tutaajiri walimu wa history na geography wakatibu? badala ya kutoa elimu ya kinga kama uvaaji wa barakoa na kunawa tunafikiria kujenga hospital za kutibu magonjwa yanayozuilika, badala ya kufikiria namna gani tutapunguza uhalifu tunafikiria kujenga jela kila wilaya na mahakama kila kata, haya mawazo ya kikoloni sijui tunayatoa wapi? tangu amisa mobeto awe mshauri wa kodi wa tra niliona tumeweka watu wa hovyo madarakani
 
Kakojoe ulale.



Chadema hivi haya matusi mnachuo hapo Ufipa?


Namshanga mama anatishwa na hawa wahuni wa chadema anasalim amri,

Chadema kama wameshindwa kujenga ofisi yao kuu pale Ufipa pamoja na kupata zaidi 25bil Za ruzuku kwa miaka 5 ya 2015-2025,

Hivi unategema hawa wakuunge mkono kwenye

1.Shule mpya 10,0000
2. Zahanati mpya 4,500
3. Vituo vya afya 570
4. Km zaidi ya 2,000 Za lami
5. Km zaidi ya 4,000 Za changalawe
 
uzeni zile ndege na ule uwanja wa ndege kule chato ili kuokoa mizgo ya kuwabebesha wananchi mizigo
 
wewe ni nufaika la ccm usitufokeee.
 
MWAMBIENI MAMA YETU SAMIA,


WANAOKATAA SHULE MPYA 10,000 NI CHADEMA SIO WANANCHI

WANAOKATAA ZAHANATI 4,500 NI CHADEMA SIO WANANCHI

WANAOKATAA TRILLION 1.6 ZA TOZO NI CHADEMA SIO WANANCHI,

WANAOKATAA VITUO 570 VYA AFYA NI CHADEMA SIO WANANCHI,

.
 
Serikali ya hovyo hovyo haijapata tokea.. yaan inaenda kienyeji enyeji plus kihuni huni...
 
Magu aliweza kufanya yote hayo bila hizokodi janja ,iweje leo walewale aliokuwa nao wakose mbinu za jinsi ya kupata pesa hadi waaze kukamua wanyonge? kama Magu aliweza kwanini mama anafeli?
 
Magu aliweza kufanya yote hayo bila hizokodi janja ,iweje leo walewale aliokuwa nao wakose mbinu za jinsi ya kupata pesa hadi waaze kukamua wanyonge? kama Magu aliweza kwanini mama anafeli?
Huyu ndio kaliua kabisa Taifa hili, Mungu amrehemu,

Mama kuna watu wanamkwamisha sana,

Tozo ilikuwa njema isipokuwa wakuzisemea hawapo,

Dk Abbas Kimya X
Msigwa Kinda X

DCs Kimya
RCs kimya
RAs kimya
DEDs kimya

MAMA ANAKWAMISHWA NA WATU WA MAGUFULI TU,

TOZO ZINAMANUFAA SANA, NAUNGA MKONO ZIENDELEE
 
Huzijui fitna za kisiasa vizuri. Dalali anataka atuaminishe b mkubwa wa watu si bora kama jiwe na akiona anashaini moyo unazidi kumuuma anaona bora atibue tu maana anamwaribia future yake aliyojiwekea, fitna ni uchawi tu.
 
Sio kweli, kwanza tuambiwe kujenga uwanja wa chato, kuhamia Dodoma, chaguzi za marudio ya kuunga juhudi, ruzuku za vyama, pori la burigi, barabara ya salender, sgr, Bwawa, madaraja ya busisi, ujenzi wa meli, kulipa madeni ya ndani, nk tutatumia pesa zipi? Za miamala hazitakuwepo? Lakini kule vijijini ndiko kwenye recipients wengi wa miamala kutoka kwa wakwe zao kutoka mijini, hivi nayeye analipa Kodi ipi. Zungu anatudanganya.

Tumeshapandisha bei ya mafuta wacha tupambane na hilo kwanza.
 
Nchi hii sio masikini

Hayo majengo pasipo wafanya kazi ni hakuna kitu

Tunataka kusikia elimu inaboreshwa, huduma za afya zinaboreshwa, sio kila uchwao sijui zahanati laki moja zinajengwa wakati hakuna uboreshwaji.

Quality is better than Quantity........

Hata uwe na zahanati milioni 1,kama huduma hakuna ni bureeee, kwa rasilimali hii nchi ilizinazo na tumekosa tu watu sahihi wa kuumiza kichwa...haina haja ya kuumiza wananchi....hatukatai kodi lakini hii ni kukomoana sasa.
 
ni sawa na mavi kuyapaka asali ili kudanganishia walaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…