Brigedia Chan-ocha
JF-Expert Member
- Mar 7, 2014
- 1,353
- 2,846
Hebu tueleweshane mkuu...Ni CCM ndio inajenga shule, miundo mbinu na huduma za umma, au ni SERIKALI kupitia KODI ZA WANANCHI, FEDHA ZA MAENDELEO na MIKOPO?Katika watu ambao ni wapuuzi basi ni Hawa viongozi wa sasa, yaani badala ya kutoka kuwaeleza watu tozo hizo zimewekwa kwa ajili gani na zitafanya nini yamekaa kimya yanawaacha machadema yanatamba.
Wanao umia kwenye kukosa hizo huduma ni hao hao wanaojiita maskini ndio watoto wao wamerundikana kwenye madarasa,ndio hawana bima na wanazalia chini kwenye hospital chache zilizopo,hawana maji na mbaya zaidi barabara za uhakika hakuna.
Hao ndio Mtaka aliwaambia watoto wao wanatembea km 50 zaidi kwa wiki ila hawataki kuumia sasa ngoja waendelee kusugua zaidi tuone kama wakibaki na hivyo vihela watatoka kwenye umaskini.
Unawasikiliza wapuuzi wa CDM hawajawahi Jenga shule hata moja ya mfano kusaidia jamii wanaishi kwa ruzuku za serikali na misaada ya wazungu,wewe unaehaso eti unacheza ngoma yao?
kwani umesikia hatulipi kodi?Tulipe kodi, mbona sio hela nyingi, tena ukilinganisha na nchi za wenzetu, kodi yetu ya miamala iko chini nitaweka data hapa, watanzania hawana utamaduni wa kutaka kulipa kodi, watumishi wa umma na sector binafsi ndio walipaji wakubwa wa kodi.
Ila wafanya biashara huwa hawataki hata kusikia 1% ya kodi imeongezeka. Watumishi wa umma hulipa hadi 30% ya makato yote ya mshahara. Ila mfanyabiashara akisikia hata 3% ya kodi imeongezeka, ni kelele na hawataki kusikia. Tulipe kodi plz
Anaeunda serikali ni nani?Hebu tueleweshane mkuu...Ni CCM ndio inajenga shule, miundo mbinu na huduma za umma, au ni SERIKALI kupitia KODI ZA WANANCHI, FEDHA ZA MAENDELEO na MIKOPO?
Naam! Siku chama kingine kikiwa serikalini pasi na CCM ndio tuwaulize kwa nini hawajajenga shule, zahanati, miundombinu au huduma zozote za jamii.Anaeunda serikali ni nani?
HIZI HAPA FAIDA ZA TOZO MPYA KWA WATOTO WA MASIKINI WA NCHI
Tupige moyo konde, najua pesa hakuna,najua mzunguko wa pesa hakuna ila tuwaache wenye pesa wasaidie Taifa lao kwa faida ya watoto wetu kesho.
Tuache harakati kwenye maendeleo ya watu, hayupo Mjomba wala shangazi wakutujengea barabara, shule,Zahanati,Hospitali kwaajili yetu na kwaajili ya watoto wetu na watoto wao ila ni sisi wenyewe.
[Hebu angalia faida za tozo kwenye sekta mbili tu za Afya na Elimu]
1. UJENZI WA VYUMBA 10,000 VYA MADARASA
Tunaweza kujenga shule 2,000 za O'level au shule 2,500 za A'level au Shule 1,428 za kidato cha ( I-VI) au Shule 1,250 za Msingi hii ni sawa na katika kila kata 2 itajengwa shule mpya 1 kwenye kata zote 3,956 au nisawa nakusema katika kila jimbo la uchaguzi kwenye majimbo yote 264 zitajengwa shule mpya 8 za Mama Samia likiwemo Jimbo la kaka yangu, "Thadei Ole Mushi " Nakwarejea tu,Tanzania tuna shule 5,330 tu za sekondari,Shule mpya nikaribu nusu ya shule zote za sekondari zilizowahi kujengwa tangu Uhuru,
Nakama tozo hii itaenda mpaka 2025 Mama Samia atajenga shule mpya zinazofikia 10,000 hii ni sawa na kusema karibu kila kijiji kitakuwa na shule mpya ama ya sekondari ama ya msingi kupitia tozo za e-money.
2. UJENZI WA ZAHANATI MPYA 900
Hyt Rais Magufuli kwa miaka mitano alijenga Zahanati 1,198.Leo Mama Samia kwa kutumia Tozo ya Uzalendo atajenga Zahanati mpya 900 kwa mwaka 1 wa fedha|FY 2021/22.Hii ni sawa na Zahanati mpya 4,500 kwa miaka 5 yaani kila Jimbo zitajengwa Zahati mpya 4 katika kila mwaka wa fedha ni sawa na Zahanati 20 kwa miaka 5 ya kwanza ya Mhe Samia Suluhu na hii ni kwamajimbo yote 264,Kwa lugha rahisi ifikapo 2025 kila kata itakuwa na Zahanati Mpya 2 za Mama Samia,
3. UJENZI WA VITUO 114 VYA AFYA
Hyt Rais Magufuli kwa miaka 5 alikarabati na kujenga jumla ya vituo vya afya 487,Leo Mhe Rais Samia Suluhu kwa kutumia Tozo ya e-money atajenga vituo vipya 114 kwa mwaka 1 sawa na vituo 570 kwa miaka 5 ya awamu ya kwanza,Kwa lugha rahisi mwaka 2025 kila Wilaya itakuwa na Vituo vipya 4 vya afya vya Mama Samia vitakavyohudumia watoto wa masikini
Itaendelea, kazi iendelee...
C&P
Uhuni mtupuHIZI HAPA FAIDA ZA TOZO MPYA KWA WATOTO WA MASIKINI WA NCHI

ni sawa na mavi kuyapaka asali ili kudanganishia walaji
Kwa CCm hii akuna wanachowez kutekeleza hz ni siasa miaka 60 uhuru wameshindwa kufanya hayo zaidi waTz wamekuwa masikin zaidiHIZI HAPA FAIDA ZA TOZO MPYA KWA WATOTO WA MASIKINI WA NCHI
Tupige moyo konde, najua pesa hakuna,najua mzunguko wa pesa hakuna ila tuwaache wenye pesa wasaidie Taifa lao kwa faida ya watoto wetu kesho.
Tuache harakati kwenye maendeleo ya watu, hayupo Mjomba wala shangazi wakutujengea barabara, shule,Zahanati,Hospitali kwaajili yetu na kwaajili ya watoto wetu na watoto wao ila ni sisi wenyewe.
[Hebu angalia faida za tozo kwenye sekta mbili tu za Afya na Elimu]
1. UJENZI WA VYUMBA 10,000 VYA MADARASA
Tunaweza kujenga shule 2,000 za O'level au shule 2,500 za A'level au Shule 1,428 za kidato cha ( I-VI) au Shule 1,250 za Msingi hii ni sawa na katika kila kata 2 itajengwa shule mpya 1 kwenye kata zote 3,956 au nisawa nakusema katika kila jimbo la uchaguzi kwenye majimbo yote 264 zitajengwa shule mpya 8 za Mama Samia likiwemo Jimbo la kaka yangu, "Thadei Ole Mushi " Nakwarejea tu,Tanzania tuna shule 5,330 tu za sekondari,Shule mpya nikaribu nusu ya shule zote za sekondari zilizowahi kujengwa tangu Uhuru,
Nakama tozo hii itaenda mpaka 2025 Mama Samia atajenga shule mpya zinazofikia 10,000 hii ni sawa na kusema karibu kila kijiji kitakuwa na shule mpya ama ya sekondari ama ya msingi kupitia tozo za e-money.
2. UJENZI WA ZAHANATI MPYA 900
Hyt Rais Magufuli kwa miaka mitano alijenga Zahanati 1,198.Leo Mama Samia kwa kutumia Tozo ya Uzalendo atajenga Zahanati mpya 900 kwa mwaka 1 wa fedha|FY 2021/22.Hii ni sawa na Zahanati mpya 4,500 kwa miaka 5 yaani kila Jimbo zitajengwa Zahati mpya 4 katika kila mwaka wa fedha ni sawa na Zahanati 20 kwa miaka 5 ya kwanza ya Mhe Samia Suluhu na hii ni kwamajimbo yote 264,Kwa lugha rahisi ifikapo 2025 kila kata itakuwa na Zahanati Mpya 2 za Mama Samia,
3. UJENZI WA VITUO 114 VYA AFYA
Hyt Rais Magufuli kwa miaka 5 alikarabati na kujenga jumla ya vituo vya afya 487,Leo Mhe Rais Samia Suluhu kwa kutumia Tozo ya e-money atajenga vituo vipya 114 kwa mwaka 1 sawa na vituo 570 kwa miaka 5 ya awamu ya kwanza,Kwa lugha rahisi mwaka 2025 kila Wilaya itakuwa na Vituo vipya 4 vya afya vya Mama Samia vitakavyohudumia watoto wa masikini
Itaendelea, kazi iendelee...
C&P
Tell us your expensive propaganda bro!
Yote hayo yanaweza kufanyika kupitia madini.Miaka 60 ya Uhuru bado unajenga shule na zahanati kupitia tozo za raia maskini ni upumbavu.waziri tengeneza chanzo kipya Cha mapato,chukua Kodi kwenye mishahara ya wabunge,tumia bahari kuyageuza maji kuwa pesa,geuza Simba was Serengeti kuwa pesa.ukifanya hayo utakuwa waziri mwena.HIZI HAPA FAIDA ZA TOZO MPYA KWA WATOTO WA MASIKINI WA NCHI
Tupige moyo konde, najua pesa hakuna,najua mzunguko wa pesa hakuna ila tuwaache wenye pesa wasaidie Taifa lao kwa faida ya watoto wetu kesho.
Tuache harakati kwenye maendeleo ya watu, hayupo Mjomba wala shangazi wakutujengea barabara, shule,Zahanati,Hospitali kwaajili yetu na kwaajili ya watoto wetu na watoto wao ila ni sisi wenyewe.
[Hebu angalia faida za tozo kwenye sekta mbili tu za Afya na Elimu]
1. UJENZI WA VYUMBA 10,000 VYA MADARASA
Tunaweza kujenga shule 2,000 za O'level au shule 2,500 za A'level au Shule 1,428 za kidato cha ( I-VI) au Shule 1,250 za Msingi hii ni sawa na katika kila kata 2 itajengwa shule mpya 1 kwenye kata zote 3,956 au nisawa nakusema katika kila jimbo la uchaguzi kwenye majimbo yote 264 zitajengwa shule mpya 8 za Mama Samia likiwemo Jimbo la kaka yangu, "Thadei Ole Mushi " Nakwarejea tu,Tanzania tuna shule 5,330 tu za sekondari,Shule mpya nikaribu nusu ya shule zote za sekondari zilizowahi kujengwa tangu Uhuru,
Nakama tozo hii itaenda mpaka 2025 Mama Samia atajenga shule mpya zinazofikia 10,000 hii ni sawa na kusema karibu kila kijiji kitakuwa na shule mpya ama ya sekondari ama ya msingi kupitia tozo za e-money.
2. UJENZI WA ZAHANATI MPYA 900
Hyt Rais Magufuli kwa miaka mitano alijenga Zahanati 1,198.Leo Mama Samia kwa kutumia Tozo ya Uzalendo atajenga Zahanati mpya 900 kwa mwaka 1 wa fedha|FY 2021/22.Hii ni sawa na Zahanati mpya 4,500 kwa miaka 5 yaani kila Jimbo zitajengwa Zahati mpya 4 katika kila mwaka wa fedha ni sawa na Zahanati 20 kwa miaka 5 ya kwanza ya Mhe Samia Suluhu na hii ni kwamajimbo yote 264,Kwa lugha rahisi ifikapo 2025 kila kata itakuwa na Zahanati Mpya 2 za Mama Samia,
3. UJENZI WA VITUO 114 VYA AFYA
Hyt Rais Magufuli kwa miaka 5 alikarabati na kujenga jumla ya vituo vya afya 487,Leo Mhe Rais Samia Suluhu kwa kutumia Tozo ya e-money atajenga vituo vipya 114 kwa mwaka 1 sawa na vituo 570 kwa miaka 5 ya awamu ya kwanza,Kwa lugha rahisi mwaka 2025 kila Wilaya itakuwa na Vituo vipya 4 vya afya vya Mama Samia vitakavyohudumia watoto wa masikini
Itaendelea, kazi iendelee...
C&P
Tunaona bora tumalize hili suala ujenzi haushi sasa wananchi tuungane pamoja kwenye kodi ya uzalendo tunamaliza ujenzi wa shule na vituo vya afya nchi nzima tunafunga kazi halafu tunahamia kwenye barabara zilizobaki za vumbi nchi nzima tunatandaza lami sio kila siku ni kujenga tuu wenzetu nchi zilizo endelea haya mambo walimaliza kitambo sana na hawana mgodi wa mbuga ya wanyama ni kodi tu kutoka kwa wananchi wake kwanini na sisi tushindwe.Watz bado hatuko serious na mambo yetu. Watu wanacheza na uhai wetu halafu wengine wanaona poa tu wa miaka yote hiyo walikuwa wapi kujenga hiyo miundombinu mpaka tukamuliwe kwenye miamala tunayoifanya.
Ebu taja ni nchi gan iliyoendelea kwa kutegemea kodi kutoka kwa wananchi tuTunaona bora tumalize hili suala ujenzi haushi sasa wananchi tuungane pamoja kwenye kodi ya uzalendo tunamaliza ujenzi wa shule na vituo vya afya nchi nzima tunafunga kazi halafu tunahamia kwenye barabara zilizobaki za vumbi nchi nzima tunatandaza lami sio kila siku ni kujenga tuu wenzetu nchi zilizo endelea haya mambo walimaliza kitambo sana na hawana mgodi wa mbuga ya wanyama ni kodi tu kutoka kwa wananchi wake kwanini na sisi tushindwe.
Amekuuliza pesa za uwanja wa ndege chato, pesa wanazotembea nazo mifukoni wanagawa. Sasa hivi mnataka kujenga sanamu tu kwa hela inayolingana na mikopo ya wanafunzi. Ukiwa nacho mfukoni wala hufikirii wasiokuwa nacho. Kama wengine waliweza bila tozo kwa nn huyu asiweze. Wakiisha pata hela na kujenga sifa na kujidai maemdeleo yanaletwa na CCM.Nitumie hisia Ili iweje ,wewe ndio unaongozwa na hisia za kipuuzi ukiwa na mentality ya kipuuzi pia kwamba pesa inaibiwa.
Kwanza lazima uelewe pesa ya kuendeshea Serikali lazima ipatikane iwe ni per diem,salary,sjui posho za wabunge au kununua magari ya serikali lazima popote itakapopatikana hayo ndio mambo ya kwanza Ili ku run serikali na ku restore order.
Pili pesa ya maendeleo ndio haitoshi na ndio inatafutwa kwa vyanzo vingine ikiwamo kodi na tozo nk.
Madini unayotaja wewe yanahitaji wawekezaji kama mnavyowekeza kwingineko na aliyewekeza ndio anapata pakubwa kwa hiyo hujakatazwa kuwekeza ila mtaji huna na kama huna yakiendelea kukaa ardhini ni useless .Kwa taarifa yako tozo za madini yote uyajuayo nchi hii huipatia serikali chini ya bln 600 kwa hiyo usiwe obsessed na kitu madini sio valuable kwa kiwango unachofikilia wewe.
Hizo bandari bila miundombinu ni useless ni sawa tuu na kuwa na madini au mali nyingine ila huna uwezo wa kuvigeuza kuwa pesa au hata ukijitahidi Unapata kiduchu Sana.
Na nchi hii ina watu wengi mnazaana Sana na mahitaji yanakuwa daily kwa hiyo bila kujikamua umaskini utazidi kutamalaki.Na hao unaojifanya kuwatetea huwasaidii ila ndio kwanza watazidi kudidimia kama Serikalini isipochukua hatua kali kama hizi kuwainua hao watu.
Pumbavu zenu wakati mnashangilia watu kuporwa pesa zao wakiitwa mafisadi mlijua ni raha? Sasa hii ni zamu ya wote hakuna cha mwenyenacho au asiyenacho.Amekuuliza pesa za uwanja wa ndege chato, pesa wanazotembea nazo mifukoni wanagawa. Sasa hivi mnataka kujenga sanamu tu kwa hela inayolingana na mikopo ya wanafunzi. Ukiwa nacho mfukoni wala hufikirii wasiokuwa nacho. Kama wengine waliweza bila tozo kwa nn huyu asiweze. Wakiisha pata hela na kujenga sifa na kujidai maemdeleo yanaletwa na CCM.
Tulipe kodi, mbona sio hela nyingi, tena ukilinganisha na nchi za wenzetu, kodi yetu ya miamala iko chini nitaweka data hapa, watanzania hawana utamaduni wa kutaka kulipa kodi, watumishi wa umma na sector binafsi ndio walipaji wakubwa wa kodi.