Tozo za miamala zitasaidia ujenzi wa Shule zaidi ya 10,000; zahanati zaidi ya 4,500 na vituo vya afya 570 ifikapo 2025. Uzalendo zaidi unahitajika

Tanzania ya Samia ni noma,

Umeme bei Chee EAC
Petrol bei Chee EAC
Disel bei Chee EAC
M|taa bei Chee EAC
Data (MB) bei Chee EAC
Maji bei Chee EAC
KWA SASA HAKUNA KAMA SAMIA
 

Anawezaje haya yote huyu mama?

SGR TZS 10.2T ni Yeye,
SG TZS 6.55T ni Yeye
Madarasa mapya manne kila sekondari nchi nzima,
Madawati 120 kila sekondari nchi nzima
 
Rais Samia ameongeza wanafunzi 29,000 kwenye mikopo ya elimu ya juu HESLB kwa miezi sita tu,

miaka mitano mfululizo iliyopita tulifanikiwa wanafunzi wapya 32,000

Unaisemaje kasi ya Rais Samia?
 
Tozo bado ni muhimu Sana Watanzania wenzangu
 
Tozo bado ni muhimu Sana Watanzania wenzangu
mmmh ,,kazi ipo kati ya sekta ambayo serikali inapuyanga ni pamoja na elimu hasa huku chini msingi ( darasa la kwanza hadi kidato cha nne) hakuna elimu bora bali kuna bora elimu.so madarasa pekee sio kitu bali wajikite na parameter nyinginezo
 
Hayonndio yaleyale ya Jiwe tumejenga viwanda elfu kumi, watu makofi waaaaaaaa. Tueleze hivyo viwanda viwanda viko wapi hawaelezi. Jmn eee tuache ku generalized Mambo mkitaka kutenda kweli na kuwaaminisha wananchi fanyeni kwanza uchambuzi yakinifu mtuainishie kabisa hizo zahanati, vituo vya afya na hizo shule zitajengwa wapi? Yaan tuainishie kabisa kata hizi 570 ndiko vituo vya afya vitajengwa ili tujue kabisa hizo Kata/hayo maeneo hayana vituo vya afya na tutegemee ikifika 2025 tuweze kupima huo utendaji. Lakini kusema tu tutajenga vituo vya afya 570 tu bila kuainisha Kila eneo ni kudanganya tu watu. Lkn pia mtueleze kazi ya Kodi tulivyokuwa tunalipa kabla ya hizi tozo kazi yake n Nini sikuhizi.
 
Hayo mambo nenda wizarani kiongozi
 
Acheni mapambio shule ,zahanati,n.k vilikuwepo, na vitaendelea kujengwa tu, yani wananchi wafe KWa njaa kisa mnakimbizana na UCHAGUZI 2025, na hampati nawambieni
 
Anawezaje haya yote huyu mama?

SGR TZS 10.2T ni Yeye,
SG TZS 6.55T ni Yeye
Madarasa mapya manne kila sekondari nchi nzima,
Madawati 120 kila sekondari nchi nzima
Mama ni jembe mno
 
Kwa hiyo TOZO zitaendelea hadi 2025[emoji848][emoji848][emoji848] mbona tutakonda sana
 
Majengo bila vifaa na wafanyakazi ni bure, au tutaomba msaada wa vifaa tiba kwa wafadhili? Hatuna mipango kazi ya tunayoyafanya. Madarasa bila waalimu na madawati pamoja na nyumba za waalimu na miundo mingine itakuwa sifuri
 
Majengo bila vifaa na wafanyakazi ni bure, au tutaomba msaada wa vifaa tiba kwa wafadhili? Hatuna mipango kazi ya tunayoyafanya. Madarasa bila waalimu na madawati pamoja na nyumba za waalimu na miundo mingine itakuwa sifuri
Hata Mbuyu ulianza kama mchicha
 
Ni sawa

Tujiulize maswali haya;-

Hizo zilizojengwa toka uhuru hadi leo zilijengwa kwa Tozo!?
Nashauri;

"Mzee Warioba arudishwe kwenye kikosi kazi cha mkandala mchakato wa katiba mpya ukamilike"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…