Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Wakuu hivi hizi tozo za miamala kwenye bank, tozo kwenye tigo pesa, tutanyooka nasema. Ila mshauri wa uchumi wa nchi hii ni kiboko pamoja na bunge pia kama walikaa na kupitisha hili. Naamanisha kwamba ni maaumivu, hawa wabunge ni wabinafsi, kwa ufupi hawapo kwa ajili ya wananchi, ni wakati sasa Tanzania tunahitaji mgombea binafsi.
Huku Bank tozo, kule Tigopesa tozo, kila pahala ni tozo halafu Rais yeye kila siku ni kusafiri tu. Kimsingi tuweke pesa nyumbani sasa. Maendeleo tunataka ila sio kwa aina hii ya kinyonyaji, huwezi kukata kodi moja kwa pesa hiyohiyo. Serikali yenyewe wanasema hawana pesa sasa, wananchi pesa tunatoa wapi? Embu tuvumiliane kwanza, mtaani bei za ukraine, huyu mtaalamu wa uchumi wa hii nchi ni kiboko.
Leo kutoa Pesa Nmb kwenda tigopesa ni tozo, tigopesa kwenda tigo pesa tozo, sasa huu uchumi wa wapi na unaona kabisa maji yamekorogeka na bei za Ukraine?
==
Soma, Mwigulu Nchemba: Tumefuta baadhi ya tozo, nyingine tumepunguza kwa asilimia 10-50