The Initiator huru
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 1,993
- 2,635
Kuna tofauti baina ya kutopiga kura na kuwakataa kwenye kura watu hawa hata kama Dkt. Mahera atatupia miwani ya mbao.Hata msipopiga kura watapita tu tena kwa kura nyingi
Oba
CCM mmesha kosa kura yangu kwa kutulimbikia matozo kwenye Kila kitu, huku sisi Wana Nchi wakawaida umaskini unatutafuna. Aliye buni hii kitu ya tozo.Mungu atamlipa.