ha aha ha aha aha kaka lakini walijitahidi lazima tuwapongeze kwa hatua waliyofikia huo ni mwanzo tukuna story inayomuhusu Baunsa mmoja ambaye watoto wa kihuni walimkaba na kisha wakamnanihii.
Kisha alipotoka hapo akaropoka kwa sauti kubwa isiyo na woga wala mikwaruzo...''wameninanihii lakini kwa mbinde kweli''.
Sasa ndio hao wakongo wenu.
Wamekula Thalatha ''3'' halafu mnawasifu.
ha aha ha aha aha kaka lakini walijitahidi lazima tuwapongeze kwa hatua waliyofikia huo ni mwanzo tu