Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
Aman iwe juu yenu
Kuelekea Jumamosi siku ndoa ambayo itafungwa kanisa la mtakatifu lumbumbashi kati ya kijana tp mazembe na binti yetu bi Hindu.
Tunaisubiri kwa hamu sana siku hiyo maana binti yetu Bi Hindu amekaa sana nyumban bila mume kwa zaid ya miaka mitano.
Tunaokuomba mazembe umuoe kweli binti yetu bi Hindu wala siyo kumchezea tu
Kumbuka ndoa ya kanisan hakuna kuachana mpaka kifo
LONDON BOY
Sent using Jamii Forums mobile app