TP Mazembe mnamuoa kweli binti yetu bi Hindu au unataka kumchezea tu!

Najua upo saluni unajipamba ndio unashusha vibwabga, muwahi mumeo LIPULI karibu anarejea!!
 
Hivi malaya aliyeliwa Simba amekuaje na mdomo mrefu.Kageree anaingiza kichwa hapa. Kiwewe cha kuingizwa kichwa cha Kagere kimewafanya waweseke sana.
 
Wewe mwenyewe chakula. Mwanaume umepaka make up na kuvaa hereni. Hata jina Beira Boy ni la kisenge.
 
Supu nzito ya pweza alikunywa Kagere.Alipoingiza kichwa.Tetema ohh tetema. Kagereeee.
 
Wakumbusheni hao Mazembe kwamba Simba hapigwi busu na wala hafi kama kuku.
 
Reactions: Tui
Wakumbusheni hao Mazembe kwamba Simba hapigwi busu na wala hafi kama kuku.
Hivi unategemea masai akienda mjini kuna nini cha ziadi, zaidi ya kuuza pipi na karanga, kuwa mlinzi, kuwasuka wanawake nk!! Ujasiri wote huwa anauwacha alipotoka!!! Ni swala la muda tu.
 
Anagawa sana huyu bi hindu

Sent using Jamii Forums mobile app
Alafu alimpakia cha mkongoHakumpakia bi harus vumbi la mkongo kweli maana loo jamaa alikuwa anamunkari kweli
Si umeona Binti yetu alivyokuwa anatoa vya kwenye meza,bafuni,jikoni mpaka sakafuni?lazima amuoe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wabongo bhana yaani Simba kufungwa (tena hatua ya robo fainali) mmeibebea bango kana kwamba ni dhambi au kituko acheni hizo bhana ndio mpira huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…