kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,779
- 4,982
Najua sio vizuri kuchanganya siasa na football
Lakini naomba tusamehane kidogo
Maana swala ili limekaa kisiasa
Mwaka 2024 ndo kutakuwa uchaguzi mkubwa DRC
Na kila kiongozi kwasasa anafanya kampeni zake
Na kila mkombea ana njia ya kuvutia watu
Njia moja wapo ya Moise Katumbi ni kwenye michezo kwa hiyo atatumia Nguvu zake zote afanye vizuri kwenye michezo ili apate kuteka hisia za wakongo wengi kupitia michezo pale atakapo win kombe la afrika cup
Kwasasa mazembe Wamesha fanya usajili wa wachezaji 5 kutoka nje ya afrika na baadhi ya
Wachezaji kazaa kutoka ndani ya afrika na bado wanaendelea kufanya usajili yote haya yanaonyesha katumbi kazamiria kweli this Time kurudisha Mazembe ya zamani na wote mnajua Mazembe akiwa on fire Hawa wote sijui Mamelodi na wengine ni cha mtoto tu mbele ya Mazembe
L’impossible n’est pas Mazembe mjipange vizuri