TP Mazembe ndo mabingwa wapya wa Afrika Super League

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Najua sio vizuri kuchanganya siasa na football
Lakini naomba tusamehane kidogo
Maana swala ili limekaa kisiasa

Mwaka 2024 ndo kutakuwa uchaguzi mkubwa DRC
Na kila kiongozi kwasasa anafanya kampeni zake
Na kila mkombea ana njia ya kuvutia watu
Njia moja wapo ya Moise Katumbi ni kwenye michezo kwa hiyo atatumia Nguvu zake zote afanye vizuri kwenye michezo ili apate kuteka hisia za wakongo wengi kupitia michezo pale atakapo win kombe la afrika cup

Kwasasa mazembe Wamesha fanya usajili wa wachezaji 5 kutoka nje ya afrika na baadhi ya
Wachezaji kazaa kutoka ndani ya afrika na bado wanaendelea kufanya usajili yote haya yanaonyesha katumbi kazamiria kweli this Time kurudisha Mazembe ya zamani na wote mnajua Mazembe akiwa on fire Hawa wote sijui Mamelodi na wengine ni cha mtoto tu mbele ya Mazembe

L’impossible n’est pas Mazembe mjipange vizuri

 
Hahaaah! Haiko hivyo kama kufanya vizuri labda misimu miwili baadae siyo 2024. Timu bado itakuwa inajitafuta.
 
Hahaaah! Haiko hivyo kama kufanya vizuri labda misimu miwili baadae siyo 2024. Timu bado itakuwa inajitafuta.

Baba sio kwa mazembe wewe subiri uone
 
UTO VP[emoji196][emoji196][emoji196][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Mpira unachezwa uwanjani, na wala siyo mdomoni au kwa kusajili wachezaji wa gharama. Kama ni hivyo basi Chelsea angekuwa bingwa wa EPL msimu uliopita.
 
utopolo mngekaa kimya kidogo muweke nguvu kushangilia ngao ya jamii na mashindano mengine mnatofanana nayo
 
Kuna Vitu UNASOMA Hapa JF Hadi unasikitika.

Kuna watu WANASIKITISHA mno.

KUMBE IDADI YA WAJINGA INAZIDI KUONGEZEKA.

IRP. Mwalimu Nyerere.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…