TP Mazembe sio wanyela wala wachovu kama mnavyotuaminisha, msiende kuitia aibu nchi

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Yanga wameondoka kwenda Congo wakiwa wanajiamini [emoji817], wanasema wanakwenda kumpiga Mazembe huko huko kwao, wanajiamini kuwa kwa sababu walimpiga mabao 3 kwa Mkapa, basi wanakwenda kumpiga tena huko huko kwao.

Sawa sawa ndugu zangu wa Jangwani, hamjakosea, wazungu wanasema you should believe in yourself.

Nataka kuwaaambia TP Mazembe hajafuzu raundi ya robo sio kwa sababu ni wabovu, subirini show huko kwao.Lazima walipize kisasi kwa migoli zaid ya 4 huko kwao.

Tafadhal naomba mkajitahidi huko msije kupoteana kwenye misitu ya M23 mkashindwa kurud.
 
Tujadili Raja kwanza maana kazi wali anzia hapa hatujui watatufanya nini huko Casablanca
 
Yanga na Us monastir wamefuzu hivyo hakuna kucheza kwa kukamia japo wachezaji watapenda kuongeza na kutengeneza records kadhaa.

Kama magoli, assists n.k
 
hiyo ni hamasa na wao wanajua na wapo rede kuupiga na mazembe,ukumbuke nabi kafanya kazi huko
 
Hao M23 wenyewe wamesema wataweka silaha chini kwa muda ili wapate wasaa wa kumuangalia mutu ya watu Mayele Fiston Kalala...FAMCHEZO NINI!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…