TP Mazembe: Tunawashukuru sana Mashabiki a Mpira Tz Bila wao Tusingeshinda

Duu, Jerry atambue mpira hauchezwi mdomoni
 
Hapo kaka JB sijui ndo anashangilia ama!!!
 
Ujumbe muafaka kabisa.

Sasa kazi yao kubwa ni zomea zomea. Hadi leo timu haina kocha lakini kamati ya usajili ipo kazini. Kocha akija anakuta wachezaji ambao wanaweza kuwa wazuri sana lakini hawaendani na mfumo wake!

Wangetumia muda kujipanga upya.

Mwakani wajiandae kuzomea kwa sana maana Yanga ndiyo mwakilishi club bingwa na Azam kombe la shirikisho. Labda mwaka keso kutwa wanaweza kubahatisha nafasi mojawapo.
 
Heri wamechapwa.. watu alfajir wako uwanjani kisa eti bure
 
Kwa kweli hawa maafisa habari wa Yanga na Simba wanatuvua nguo watanzania kama Jerry ndio kabisa ni kama mtoto mdogo tena asiye jitambua
 
Simba kazi yao kuzomea tu timu imeshakufa
Timu iliyokufa ni ile iliyofungwa na Bajai Goli 1 kasha ikafungwa tena na TP Mazembe Goli 1. Hiyo timu inachungulia kaburi
 
Wamedamka asubuhi kama msibani, hata aibu hawana
Mkuu matokeo yake wemelala 1-0 wengine wamepigwa, na wamemwagiwa maji ya kuwasha, vilevile geti wamevunja yaani hawa jamaa viongozi wao sijui waliwaza nini kuhusu bure..!?
 
simba na yanga zmekua zikizomeana hata kabala ya jerry kuwepo yanga,so hakuna kufungwa kwa yanga hakuna uhusiano na maneno ya jerry
 
Ujinga huu na mwingine mwingi upo kwenye nchi moja tu, ya maajabu nayo ni Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…