TP Mazembe vs Simba Sports Club

Kaseja anatia aibu, wanakaribia kufungwa goli la 3...
 
sawa kaka, lakini kwa kuwa wewe unauona, je washabiki wa Lipopo (ie.timu pizani ya tp mazembe) wanishangilia Simba, au?
 
mh sidhani,yanh vijana wa simba wanabutua butua tu,mtu anapiga mpira wala haangalii unampata nani!yanh pasi ni zero.let us wait and see the 2nd half
 
tbc imeloga.wameanza kuonyesha mambo mengine.mitambo yao sijui vipi!?
 
mh sidhani,yanh vijana wa simba wanabutua butua tu,mtu anapiga mpira wala haangalii unampata nani!yanh pasi ni zero.let us wait and see the 2nd half
nina uhakika kocha atakua ameona makosa yote na keshawapa maagizo ..Second time tunarudi na kuwapiga
 
mh sidhani,yanh vijana wa simba wanabutua butua tu,mtu anapiga mpira wala haangalii unampata nani!yanh pasi ni zero.let us wait and see the 2nd half

kutulia na kujiamini si kazi ndogo, hasa hasa unapokutana na timu yenye statue ya TPM
 
TP Mazembe 2 - 0 Simba SC

Second half 32min
 
Dakika ya 80 still 2 - 0 ni vizuri kwa simba bongo wanaweza kushinda inaonekana wanaweza kufungwa nyumbani... Mimi ni Yanga lakini simba inajizatiti haswa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…