Tbc wababaishaji kama Tanesco wiki nzima wametutangazia kurusha mechi,Hili Linchi ovyo sana kila sehemu ubabaishaji tu.Et Matatizo ya Mitambo!!Ngoja nikawacheki The Blues mie nsijitengenezee BP.
Wakati naota usiku Simba ilikuwa mbele kwa bao 2 kwa 0 sasa tatizo umeme ukakata ghafla..AC ikafa...(mh!!!! AC wapi usawa huu...feni bana..)..joto likaongezeka nikashtuka usingizini...nikaamka kabla ya mechi kwisha..sasa mlioangalia mpaka mwisho vipi????