TP Mazembe wameponzwa na ufupi wa mabeki?

TP Mazembe wameponzwa na ufupi wa mabeki?

canfi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2022
Posts
1,368
Reaction score
1,477
Goli la kwanza walilofungwa TP Mazembe leo vs Monastir ni la kichwa. Kwa vimo vya wachezaji wa TP Mazembe tatizo ni ufupi au kuna mengine?
 
Goli la Kona au adhabu ndogo si lamabeki pekeyao, ni goli la timu nzima kwakua kwenye timu wote mnazuia warefu Kwa wafupi. Mara nyingi kwenye mipira ya hivyo wachezaji wote uwa wanarudi kuzuia.
 
Back
Top Bottom