TP mazembe wanunua ndege..

Duh wameonyesha njıa na sısı tufuate.
 
Isije ikawa wanatangaza jina lao kwenye ndege za watu. Iwapo ni kweli, je kuna club nyingine Afrika yenye usafiri wake kama huu?

Kwa upande wa vyama vya siasa Tz, CCM ni chama pekee chenye dege lao..... Fokker.....namba 5H-CCM.
 
timu zetu zinaendekeza majungu tu badala ya kutengeneza mapesa
 
Duh wameonyesha njıa na sısı tufuate.

Mkuu Dio vingapi tumeoneshwa njia hatujafuata? Hao wanaotuongoza wenyewe kutwa kuchwa kiguu na njia, inafact wanaishi kwenye kabisa lakini sioni hata kimoja cha maendeleo walichokileta nchini zaidi ya shopping kwa ajili ya watoto na vimada vyao. Sioni sababu ya wewe kuhisi kwamba Simba na Yanga watafuata kwenye hili.
 
umeona enhee mkuu Ivuga
offcourse kijana ..timu kama simba au yanga zinashindwa mimi kuwa na miradi na kuzalisha mapesa? uongozi mzuri tu ndio unatakiwa na sio lazima timu inunuliwe na billionea
 
Hilo ni jeneza la TP Mazembe. Angalia hiyo tail ni yale madege mabovu Antonov na Tupolev ya Soviet yanayoanguka kila siku DRC.
 
wameonyesha njia lakini sisi watanzania hatuoni.mia
 
Hilo ni jeneza la TP Mazembe. Angalia hiyo tail ni yale madege mabovu Antonov na Tupolev ya Soviet yanayoanguka kila siku DRC.
duh!! hii komenti imeniogopesha kweli ..na Mungu aepusha haya maneno yako mbali kabsaaaa na nina uhakika hili jambo hlitokuja kutokea hata siku moja ..mle TP mazembe kuna vichwa vyetu bro...au hujui ...OMG!!!!!!!!!!!
 
Nilikuwa napita tu, ntarudi badae
 
HUko kwenye ndege ni mbali sana,simba na yanga haina hata viwanja vya mazoezi unafikilia ndege,but ukumbuke tp na azam ni timu za watu binafsi na ni miradi ya familia tofouti ya simba na yanga ni za wanachama na tena wa kawaida tu,ila kila kitu kinawezekana tunatakiwa kujipanga tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…