TP Mazembe yafanya mauaji ya kinyama Klabu Bingwa Afrika: Yaitundika Club Africain goli 8 bila huruma

Mwarabu asitake kuvunja historia ya goli 8 tu
 
Hatua ya 16? Au masikio yangu nimesikia vbay

[emoji375][emoji375]
Sema macho yako yamesoma vibaya? kwani hapo niweka video au audio kusema kwamba usikilize?
 
Waarabu hawa wa leo hawana jeuri hiyo. Hayo mambo yalifanyika mwaka 1998 kule Morocco wakati Yanga ikipigwa goli 6 - 0 na RajaCasablanca

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mambo mengine yalifanyika 2019 kule congo wakati simba a.k.a andadogi kala 5 kiganja na As vita. Hii mechi haina hata miezi miwili tangu imechezwa inamana machungu bado yapo kwa mbùmbumbu
 
Shukuru Mungu umeend Congo umekula kiganja "5" mweñnzio kaenda kala 8, haaya sasa leo ndo mtapigwa tena
 
Al ahaly wamenikera second half,ilitakiwa waivunje hii record
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…