kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,089
- 9,664
TP Mazembe wakiwa Ugenini wamejikuta wakipokea Kipigo Cha Magoli matatu Kwa bila dhidi ya Al ahly na kutolewa hatua ya nusu Fainali Ya michuano ya klabu Bingwa barani Afrika.
Katika mchezo Wa mkondo Wa Kwanza Timu hizo zilitoshana nguvu Kwa Kutoka Suluhu na hivyo kudhihirika kuwa Al ahly ndio klabu Bora namba Moja Barani Afrika.
Katika mchezo Wa mkondo Wa Kwanza Timu hizo zilitoshana nguvu Kwa Kutoka Suluhu na hivyo kudhihirika kuwa Al ahly ndio klabu Bora namba Moja Barani Afrika.