kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,089
- 9,664
Mkeka wa Hersi umechanika
Kuna haja gani ya kumtaja ktk uzi huu..yaani anapata engagement ya bure tuMkeka wa Hersi umechanika
Al Ahly wako vyedi lo!
Hakuna kungoja hao ndio mabingwaAl Ahly wako vyedi lo!
Ngoja tuone kama watabeba kombe!
Si alitangaza kuachia ngazi kama board chairman ili ajikite kwenye siasa ?Sio mbaya Ravens tunarudi kujipanga ..uzuri Tajiri la Soka Africa limepunguza siasa hivyo muda wa kukaa na timu anao ..tukutane sokoni kwenye kununua wachezaji
Siasa kaona ni ngumu kwa sasa uchaguzi ushapita watu wafanye kazi..kipindi hiki anachokua pembeni ktk siasa ,ameamua kuisimamia Timu ,iwape furaha wakongomaniSi alitangaza kuachia ngazi kama board chairman ili ajikite kwenye siasa ?
Mwosha Huoshwa!!Endelea na mifuraha Maa,,siku zenyewe za mifuraha ni chache mnoo