TPA inapewa tuzo ya utendaji bora Duniani then tunakodisha kwa ajili gani?

TPA inapewa tuzo ya utendaji bora Duniani then tunakodisha kwa ajili gani?

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
Kama ufanisi wa bandari umepelekea wapewe tuzo kwanini tunalazimisha kukodisha? Mbona hatukodishi mashirika ambayo hayafanyi vizuri?

Tunasema bandarini kuna rushwa; DP World ni TAKUKURU yakiwekezaji? Wanatumia uchawi gani kupambana na rushwa?
 
Kuwekeza wawekeze,ila vipengele vyenye mkanganyiko,viangaliwe.Wale wapigaji wa bandarini,wasidhani tunawasapoti kua uwekezaji,usifanyike,ili waendelee kutajirika,hapana.
 
Weka ile picha ya cheti cha ubora namba 1

IMG_4493.jpg
 
Back
Top Bottom