R Resilience JF-Expert Member Joined Jan 4, 2023 Posts 1,096 Reaction score 4,948 Aug 20, 2023 #1 Kama ufanisi wa bandari umepelekea wapewe tuzo kwanini tunalazimisha kukodisha? Mbona hatukodishi mashirika ambayo hayafanyi vizuri? Tunasema bandarini kuna rushwa; DP World ni TAKUKURU yakiwekezaji? Wanatumia uchawi gani kupambana na rushwa?
Kama ufanisi wa bandari umepelekea wapewe tuzo kwanini tunalazimisha kukodisha? Mbona hatukodishi mashirika ambayo hayafanyi vizuri? Tunasema bandarini kuna rushwa; DP World ni TAKUKURU yakiwekezaji? Wanatumia uchawi gani kupambana na rushwa?
A Akilinjema JF-Expert Member Joined Aug 9, 2016 Posts 11,430 Reaction score 11,813 Aug 20, 2023 #2 Weka ile picha ya cheti cha ubora namba 1
ki2c JF-Expert Member Joined Jan 17, 2016 Posts 7,719 Reaction score 14,506 Aug 20, 2023 #3 Kuwekeza wawekeze,ila vipengele vyenye mkanganyiko,viangaliwe.Wale wapigaji wa bandarini,wasidhani tunawasapoti kua uwekezaji,usifanyike,ili waendelee kutajirika,hapana.
Kuwekeza wawekeze,ila vipengele vyenye mkanganyiko,viangaliwe.Wale wapigaji wa bandarini,wasidhani tunawasapoti kua uwekezaji,usifanyike,ili waendelee kutajirika,hapana.
ILISACHA JF-Expert Member Joined Oct 29, 2019 Posts 2,184 Reaction score 4,030 Aug 21, 2023 #4 Akilinjema said: Weka ile picha ya cheti cha ubora namba 1 Click to expand...