TPA kwanini system zenu zipo chini (Wharfage azisomi kwenye ICD zenu haswa Tabata)?

TPA kwanini system zenu zipo chini (Wharfage azisomi kwenye ICD zenu haswa Tabata)?

Mustang_

Member
Joined
May 18, 2013
Posts
34
Reaction score
22
Moja kwa moja bila kupoteza muda ni kwamba hivi karibuni magari niliyowaagizia wateja yamekwama kutokana na system kuwa chini (Wharfage aziomi kwa wakati).

Swali langu kwenu ni lini tabia hii ya uzembe itaondoka na kuepusha kero hizi ili kurahisisha biashara kusonga mbele na kuondoa mizozano baina yetu na wateja?

Mpaka kufikia leo ni siku ya nne tunafuatilia jambo hili tunaambiwa bado.

Tuliamini baada kutafuta muwekezaji mifumo itakua ni bora lakini hakuna ajabu mpaka sasa.
 
Back
Top Bottom