TPA vipi?

RISCA

Member
Joined
Jan 7, 2012
Posts
23
Reaction score
5
Wadau kuna kipindi jamaa walitangaza kazi pale Bandari..vip mbona kimya? Au watu wameanza kazi tayari
 
Mbona kuna jamaa namfahamu ameisha anza kazi,na mshahara ameanza kulamba!
 
uongo mtupu ni kukatisha watu tamaa tuu
 
hata me nimejibu serious mkuu,tena huyo jamaa ni binamu yangu.

sENETOR..siku zote huwa hutoi majibu ya kweli ktk jukwaa la kazi na tenda, had kuna siku nilicoment kwa kukwambia piga chini cheo cha senetor na uweke KURUTA WA JESHI..
 
TPA Mambo kimya kimya uwezi kusikia wanatangaza kazi ila kila siku wanaajiri? nafikiri mwakyembe hajwashtukia
 
True yametoka ila ni katika nafasi za clerk c, medical attendant, sailor, crane operator na nafasi nyingine moja nimeisahau. Ila clerk C yako majina 701. Kazi kwenu wadau...
Wahi ukasome, majina yamebandikwa pale geti namba 3
 
dogo acha Masihara. Watu wako Serious.

king2 labda mfumo wa tz ha2ufaham vema,ukwel ni kwmba tz sehemu nyngi kaz hutangazwa wkt tayar znawa2,kwa taarifa 2 kuna wa2 wa3 ambao wamemaliza udom dis yr kwa majina nawahfadhi wameshachukua hadi mikataba(contract) kwenda kusaini kwa kazi ambazo interview yke itafanyika kesho hpo TPA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…