TPA yasitisha huduma za Meli ya MV Mbeya

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Huduma zimesimama ili kuruhusu zoezi la maboresho kufanyika. Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) imesema Mei 03, 2021 Meli hiyo ya Abiria na Mizigo ilipata changamoto ya kupigwa mawimbi makubwa katika Bandari ya Matema kuelekea Bandari ya Mbamba Bay

Hatua hiyo ya maboresho inazingatia umuhimu wa Usalama wa Abiria na Mizigo ili kuiongezea ubora

 
JE KIVUKO HICHO KINA UBORA NA VIWANGO VINAVYOKUBALIKA KIMATAIFA,AU KILIJENGWA TU ALIMRADI MERI HUWA INAFANANIAGA HIVI...!
WE TEREMUSHA...!
IKIWEZA KUEREA KWENYE MAJI HIYO INAFAA....
Tusije uwa watanzania bure bure....!
#safety_first...
 
Mbona hawajaweka ni kwa kipindi gani wamesitisha na matengenezo yatachukua muda gani?
 
Waliotengeneza meli wameshakula pesa zao na mademu zao wanazoom tu wapate tenda kwa mara ya pili.
Hii nchi ni janjajanja tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…