Date Listed: Jun 13, 2012
Application Deadline: Jun 22, 2012
DUUH! MPAKA LEO JAMANI, NDO KUNAFANYIKA SHORTLIST AU TAYARI WALISHAANZA WATU KAZI AU NDO KASHIFA ZA NISHATI NA MADINI ZIMESIMAMISHA ZOEZI ZIMA, AU NINI KINAENDELEA JAMANI KWA ANAYEJUA, MANA HAWA JAMAA NAO WANA MUDA MREFU KIAINA TANGU WATANGAZE NAFASI ZA AJIRA
mkuu walishafanya interview na tangu interview hadi leo watakuwa wameshaanza kazi watu
Date Listed: Jun 13, 2012
Application Deadline: Jun 22, 2012
DUUH! MPAKA LEO JAMANI, NDO KUNAFANYIKA SHORTLIST AU TAYARI WALISHAANZA WATU KAZI AU NDO KASHIFA ZA NISHATI NA MADINI ZIMESIMAMISHA ZOEZI ZIMA, AU NINI KINAENDELEA JAMANI KWA ANAYEJUA, MANA HAWA JAMAA NAO WANA MUDA MREFU KIAINA TANGU WATANGAZE NAFASI ZA AJIRA
Bado hawajahita Mkuu jana nilienda kuwauliza pale Benjamini towel sababu mimi mwenyewe kuna kazi moja ambayo niliomba na nina uhakika wakupata nikiitwa ntakuambia
Bado hawajahita Mkuu jana nilienda kuwauliza pale Benjamini towel sababu mimi mwenyewe kuna kazi moja ambayo niliomba na nina uhakika wakupata nikiitwa ntakuambia
ukubali ukatea ila watu wameshafanyiwa interview na kunauwezekano wakawa wameshaitwa maana tangu interview ifanyike kalibia mwezi unaisha sasaBado hawajahita Mkuu jana nilienda kuwauliza pale Benjamini towel sababu mimi mwenyewe kuna kazi moja ambayo niliomba na nina uhakika wakupata nikiitwa ntakuambia
Hii ni kwa mujibu wa baba yako mdogo ndo kakupa uhakika wa kupata sio, mbumbumbu na PICUH degree zenu. "Eti TOWEL" bora una wa kukubeba coz hujui hata degree yako ina kujenga kua nani.
Naomba tuitwe wote kwenye hiyo interview ndio utajua sasa kama ni baba yangu mdogo au mimi mbumbumbu au najua degree yangu ina nijenga kuwa nani