Elections 2010 TPDF deployed in Z`bar

Selous

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2008
Posts
1,325
Reaction score
145

source: Guardian on sunday
 
Yote yawe ya kheri tu lakini. All the best CUF
 
last time kuna jamaa yangu ni soldier huko Zenj, aliniambia 2005 yeye binafsi alipiga kura mara 4, chini ya usimamizi wa mkuu wa kikosi chao...
 
nimewaona mtaani na nguo zao mpya
wameshaanza kurandaranda ili tuwazoee watakapokuja kutupiga
 
Luteni kanali mstahafu Mh Dr (Hons) Jakaya Mrisho Kikwete
Luteni Mstahafu Y. Makamba
Brigedia Mstahafu A. Kinana
Meja General A.Shimbo

wewe unategemea nini kutoka kwa wanajeshi hao?
 
captain mstaafu John Chiligati
captain mstaafu George Huruma Mkuchika
 
all teh best CUF.... TUombe Mungu wasije kwa-Kivuitu tu na huko
 
Kumbe Kinana alikuwa Mjeda!Khaa kwa kweli kazi tunayo mwaka huu
 
Luteni kanali mstahafu Mh Dr (Hons) Jakaya Mrisho Kikwete
Luteni Mstahafu Y. Makamba
Brigedia Mstahafu A. Kinana
Meja General A.Shimbo

wewe unategemea nini kutoka kwa wanajeshi hao?

Hapana, Kinana alikuwa Kanali, labda kama alipanda tena baada ya 1990 akiwa mwanasiasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…