TPL inaenda kwa AZAM

TPL inaenda kwa AZAM

Vyura wameanza kulainika.Pigeni ramli. Bingwa anapatika mwezi wa 5 ligi ikiisha.
Hizo ramli ni kumsaidia marhum Sheikh Yahya Hussein kazi yake iliyopita. Fungueni ofisi.
 
Vyura wameanza kulainika.Pigeni ramli. Bingwa anapatika mwezi wa 5 ligi ikiisha.
Hizo ramli ni kumsaidia marhum Sheikh Yahya Hussein kazi yake iliyopita. Fungueni ofisi.
Mwenye jeuri ya kubeba ndoo miaka mitatu mfulilizo ni mmoja tu. Hakuna cha Sheikh Yahya wala nini. Jangwani au Chamazi. Hilo siyo rocket science.
 
Leta nyoro hapa mwezi wa tano mwishoni. Historia haisaidii chochote kwenye mpira.
Ingekuwa inasaidia Man United angekuwa bingwa kila mwaka.
 
Mtazamo Wang naona Azam anachkua TPL
1.Aina ya Coach waliyenaye
2.Wana vipaji vingikwa sasa hasa vijana ambao kasi yao Du hatari.
SIMBA na YANGA wajiandae kisaikolojia
Umesema tu kuwa aina ya kocha waliye nae bila hata kuanisha huyo kocha ana sifa zipi za pekee kuliko makocha wengineo
 
Jamani mechi baina ya YOUNG AFRICANS FOOTBALL CLUB "The Citizen Team" dhidi ya Biashara ni SAA ngapi?
 
Hivi goli la 3 la YOUNG AFRICANS FOOTBALL CLUB "The Citizen Team" kupitia kwa Papaa Heritier Makambo ni kweli halikuwa halali?
 
Vyura wameanza kulainika.Pigeni ramli. Bingwa anapatika mwezi wa 5 ligi ikiisha.
Hizo ramli ni kumsaidia marhum Sheikh Yahya Hussein kazi yake iliyopita. Fungueni ofisi.
Bingwa anapatikana kabla ya mwezi wa tano,
mwezi wa tano ni kwa ajili ya kutawazwa rasmi.
 
Azam kama Arsenal, huwa wanaharibu mwishoni!
 
Back
Top Bottom