TPL Is Back.. Tukikumbushe Kidogo.

sembo

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
4,350
Reaction score
3,451
Baada ya ligi kuu Tanzania Bara (TPL) kusimama kwa muda ili kupisha mechi za kimataifa, hatimae inarejea leo kwa mechi kadhaa kuchezwa.
Lakini kabla haijaendekea, hebu tujikumbushe yaliyojiri kabla ligi haijasimama;
1.Azam FC ndio timu yenye rekodi nzuri ya ulinzi (wameruhusu goli 1 tu)
2.Mbeya City wamepachika magoli mengi kuliko timu zote (Magoli 12)
3.Ndanda FC ndio timu iliyofungwa goli nyingi (Magoli 14)
4.Eliud Ambokile anaongoza kwa upachikaji wa magoli (Magoli 6).
5.Alex Kitenge ndio mchezaji pekee aliyefunga Hat-trick (Magoli 3 vs Yanga SC)

NB: Hongereni Yanga SC kwa kua katika hizi 'kumbukizi'.
 
6. Mikia ndio Timu pekee iliyoshindwa kuifunga Ndanda hata goal moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…