TPL: kutoka uwanja wa Taifa Yanga SC vs Mwadui FC

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Vinara wa ligi kuu Yanga Leo wakiongoza na Nahodha wao mpya Ibrahim Ajib watakuwa wakipapatuana na wachimba madini kutoka shinyanga Mwadui fc.
Yanga itakosa huduma ya kinara wa ufungaji Makambo aliekwenda kwao Congo na kupoteza mawasiliano.
Mechi inaanza saa moja kamili
Kikosi Cha Yanga


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Makambo hajapoteza mawasiliano ...anarudi kesho au leo alfajiri kwa kupitia Ethiopia...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…