kibo na mawenzi
Member
- Aug 25, 2018
- 84
- 70
Sio mbaya wame compensate goli lililokataliwa juziGoal la kwanza mpira ulikuwa ushatoka lakini mshika kibendera kazingua
Nipeni matokea hadi sasa yakoje.Sio mbaya wame compensate goli lililokataliwa juzi
Simba 2Nipeni matokea hadi sasa yakoje.
Safi sanaMbili mkuu
Waongeze mengine kama mawili hivi tupate raha...Simba 2
Bado moja au mawili kabisaOkwiiiiii ii ii
Simba 3
Alliance 0
Ewaaaaa.... bado. Waendelee kuongeza ongezaSalambaaa Gooaal
SIMBA 4 dk 71
Tripple CChama habari nyingine aisee