La offside mshika kibendera anaogopa kufutwa niniSalambaaa Gooaal
SIMBA 4 dk 71
Utachonga sana viazi ndugu.. CHAMA ni zaidi ya ccm.La offside mshika kibendera anaogopa kufutwa nini
Jibu hoja sio offsideUtachonga sana viazi ndugu.. CHAMA ni zaidi ya ccm.
Offside kwani refa hayumo?... kachezeshe wwJibu hoja sio offside
Wakiongeza kengine itapendeza zaidi...CHAMAAaaaa Gooaal
Simba 5
Wao 0
Chama anafanya mambo ya NEYMAR wa PSG hapa Bongo.. daah hatari sana CHAMA.
Punguza hilo goli mkuu, isiwe tabu.Jibu hoja sio offside