Ahaaa, kumbe rais, nilidhani amesema kochaMh raisi alishangaa kipa kufungwa magoli mepesi matatu kule cape Verde..huyu Manula atazamwe kwa jicho lingine..isije akawa analilia Tanzania one kama Wema anavyolilia Tanzania sweetheart.... kila Siku anafungwa magoli kutoka nje ya 18.. akitufungisha Lesotho atafute pa kukimbilia ...
Sasa beki KESSY na GADIEL unategemea nani azuie?Mh raisi alishangaa kipa kufungwa magoli mepesi matatu kule cape Verde..huyu Manula atazamwe kwa jicho lingine..isije akawa analilia Tanzania one kama Wema anavyolilia Tanzania sweetheart.... kila Siku anafungwa magoli kutoka nje ya 18.. akitufungisha Lesotho atafute pa kukimbilia ...
Ramli za mjiniWamatopeni Mnakufa Mbili Moja Kwa Leo
Simba(Wamatopeni) 1 - 2 Alliance Fc
Ilikuwa tusichomoke ila kachomoa mwenyeweLeo simba hachomoki
Jamaa akisikia rais anaweza akaacha kula kabisa...Ahaaa, kumbe rais, nilidhani amesema kocha
wa kule Anaeweza kupata namba huku labda Yondani tu.CHAMA THE BEST
OKWI FANTASTIC
Wale ma'House girl wanaoshindia ndani tu nje hawatoki... Povu ruksa.
Kule NDALA hakuna wa kupata NAMBA huku UNYAMANI.. Sio kwa soka hili na Kikosi hiki.
ILA WA HUKU AKIENDA KULE anakua MANJI Wao kabisa.. [Mtani wa Jadi]
Wasisahau kunywa chai,Wakuu.. Muwe na asubuhi njema.
Hahaha.. Ilikuaje mkakafunga goli 3 kwa taabu sana?Hongereni bana Watani zangu ila niseme tu sio jambo la kushangaza na kuwafanya mtaaambe wakati katimu kenyewe kako mkiani. Teh teh.
[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Ni mzuri kati ya wabovuKuna kipa kama AISHI hapa bongo?.. au unailaza akili
Au ukisikia rais ndio unajua anajua kila kitu
mzuri kati ya wabovu, ndio maana anapewa nafasi kuliko wabovu wote waliobaki.Ni mzuri kati ya wabovu
Nashukuru kwa kukubaliana na mimimzuri kati ya wabovu, ndio maana anapewa nafasi kuliko wabovu wote waliobaki.
Na hapo najiuliza hivi nilikukosaje kwa mchina! [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama nakuona Mtani ulivyolala na furaha kama yote.
Ila sijaona cha kushangaza ujue maana kama sisi Omba omba tulimfunga tatu wewe ulitegemea umfunge ngapi. [emoji3][emoji3][emoji3]
Hahahaaa. Eti goli tatu kwa tabu duuuh. Wacha masikhara mtani.Hahaha.. Ilikuaje mkakafunga goli 3 kwa taabu sana?
πππππ ndio hapo sasa Mtani ujue huwa mnaonea vidagaa.Na hapo najiuliza hivi nilikukosaje kwa mchina! [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
sina hakika kama ni wazuri kuliko yanga ila nikiri wazi hawa watoto ni wazuriHivi vitoto vipo vizuri kuliko Yanga,havina bahati tu
πππππ nilikuuliza sehemu Mtani hivyo leo uko Off yaani ni mwendo wa kuperuzi mitandaoni tu habari za simba. ππππππ