TPL: Simba SC vs Alliance FC - October, 24.

TPL: Simba SC vs Alliance FC - October, 24.

Hawa Alliance siku wakistuka kuwa wako ligi kuu... Watakuwa wamechelewa tayari.
Wanacheza kishuleshule sana..
Simba nguvu moja
 
Goal la kwanza mpira ulikuwa ushatoka lakini mshika kibendera kazingua
 
Hawa watoto wa shule wanateseka sana.. Okwi anatafuta hatrick
 
Back
Top Bottom