University_Promo
JF-Expert Member
- Sep 29, 2018
- 749
- 661
Rudi Simba Kumenoga!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe hawakuwa na kocha kwenye benchi lao.
Aishi wa kawaida kamuulize JPM..maana alikuwa mlinda mlangoKuna kipa kama AISHI hapa bongo?.. au unailaza akili
Au ukisikia rais ndio unajua anajua kila kitu
kocha anapangiwa timu na TFF..$$ anavyopewa hana la kusemaAhaaa, kumbe rais, nilidhani amesema kocha
Huyo Kindoki Mcongo ...Beno huwezi kumfunga vile nje ya 18..Jana na Alliance Kapombe si alikuwepo...hivi kocha wa makipa Simba nani??? goli la NNE msimu huu Manula anafungwa nje ya 18..watu tumeshaanza kuzichanga kwenda AFCON 2019 asituletee uanithiSasa beki KESSY na GADIEL unategemea nani azuie?
Usimsahau KITENGE alipiga hattrick pale taifa
Hivyo vidagaa vilifikaje fikaje Ligi Mkuu Hajar au nao walitumia muamala? Nyie wenyewe kocha wenu alikubali mziki wa Msimbazi kua sio wa Tanzania hii mpaka akakari kua aliingiza timu yake uwanjani sio kucheza mpira bali kutaka kupunguza magoli ya kufungwa kwa kuvuruga na kufanyia fujo tu move za watu😂😂😂😂😂 ndio hapo sasa Mtani ujue huwa mnaonea vidagaa.
Hata uyo yondan ataanzia benchwa kule Anaeweza kupata namba huku labda Yondani tu.
Simba ni moto
Mtani hongera kwa ushindi mnonoMkuu.. Hii kauli ungeizungumza Jumamosi.
Beno bado sana kwa Manula kufungwa ni kawaida mbona.Huyo Kindoki Mcongo ...Beno huwezi kumfunga vile nje ya 18..Jana na Alliance Kapombe si alikuwepo...hivi kocha wa makipa Simba nani??? goli la NNE msimu huu Manula anafungwa nje ya 18..watu tumeshaanza kuzichanga kwenda AFCON 2019 asituletee uanithi
JPM ana record gani kwe soka acha ujingaAishi wa kawaida kamuulize JPM..maana alikuwa mlinda mlango
kule yanga kasaulika Ajibu tu.. Gadiel hajatosha kucheza timu ya taifakocha anapangiwa timu na TFF..$$ anavyopewa hana la kusema
Juurko, Nyoni, Mlipili, Wawa, BukabaHata uyo yondan ataanzia bench
Namwambia hata gadiel hatoshi , anataka beno wkt manula amekuwa bora season 3 mfululizo na uwezo anao basi tu yanga wanapenda vyao tuUkisikia umama ndio huo.Hakuna golikipa asiyefungwa.Mpira wenyewe uliuona au ulihadithiwa?Makosa ya walinzi walioshindwa kumdhibiti mfungaji na sio Aishi Manula.
Naona umekuwa kocha mzuri kuliko Amunike. Kwani Amunike golikipa wake wa kwanza ni Aishi .Wacha ushabiki kwa kisingizio cha uzalendo.
Mpira hauna historia basi Kaseja angeendelea kudaka Taifa stars ..current form ndio inatakiwa..jamaa toka alivyochukua jiko kawa mvivu..Beno bado sana kwa Manula kufungwa ni kawaida mbona.
Kampeni za BENO hadi 2020
Bora kwa kigezo cha clean sheets wakati wapinzani wanafungwa magoli ya offsideNamwambia hata gadiel hatoshi , anataka beno wkt manula amekuwa bora season 3 mfululizo na uwezo anao basi tu yanga wanapenda vyao tu