TPL: Simba SC vs Alliance FC - October, 24.

TPL: Simba SC vs Alliance FC - October, 24.

Sasa beki KESSY na GADIEL unategemea nani azuie?
Usimsahau KITENGE alipiga hattrick pale taifa
Huyo Kindoki Mcongo ...Beno huwezi kumfunga vile nje ya 18..Jana na Alliance Kapombe si alikuwepo...hivi kocha wa makipa Simba nani??? goli la NNE msimu huu Manula anafungwa nje ya 18..watu tumeshaanza kuzichanga kwenda AFCON 2019 asituletee uanithi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilikuuliza sehemu Mtani hivyo leo uko Off yaani ni mwendo wa kuperuzi mitandaoni tu habari za simba. [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Hahaha.. Leo ni full bata.
 
Ukisikia umama ndio huo.Hakuna golikipa asiyefungwa.Mpira wenyewe uliuona au ulihadithiwa?Makosa ya walinzi walioshindwa kumdhibiti mfungaji na sio Aishi Manula.
Naona umekuwa kocha mzuri kuliko Amunike. Kwani Amunike golikipa wake wa kwanza ni Aishi .Wacha ushabiki kwa kisingizio cha uzalendo.
 
😂😂😂😂😂 ndio hapo sasa Mtani ujue huwa mnaonea vidagaa.
Hivyo vidagaa vilifikaje fikaje Ligi Mkuu Hajar au nao walitumia muamala? Nyie wenyewe kocha wenu alikubali mziki wa Msimbazi kua sio wa Tanzania hii mpaka akakari kua aliingiza timu yake uwanjani sio kucheza mpira bali kutaka kupunguza magoli ya kufungwa kwa kuvuruga na kufanyia fujo tu move za watu
 
Hata goli la penalti dhidi ya Mbao alifungwa nje ya mita 18 !!!!!.Umama ni ugonjwa mbaya sana
 
Huyo Kindoki Mcongo ...Beno huwezi kumfunga vile nje ya 18..Jana na Alliance Kapombe si alikuwepo...hivi kocha wa makipa Simba nani??? goli la NNE msimu huu Manula anafungwa nje ya 18..watu tumeshaanza kuzichanga kwenda AFCON 2019 asituletee uanithi
Beno bado sana kwa Manula kufungwa ni kawaida mbona.
Kampeni za BENO hadi 2020
 
Ukisikia umama ndio huo.Hakuna golikipa asiyefungwa.Mpira wenyewe uliuona au ulihadithiwa?Makosa ya walinzi walioshindwa kumdhibiti mfungaji na sio Aishi Manula.
Naona umekuwa kocha mzuri kuliko Amunike. Kwani Amunike golikipa wake wa kwanza ni Aishi .Wacha ushabiki kwa kisingizio cha uzalendo.
Namwambia hata gadiel hatoshi , anataka beno wkt manula amekuwa bora season 3 mfululizo na uwezo anao basi tu yanga wanapenda vyao tu
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Beno bado sana kwa Manula kufungwa ni kawaida mbona.
Kampeni za BENO hadi 2020
Mpira hauna historia basi Kaseja angeendelea kudaka Taifa stars ..current form ndio inatakiwa..jamaa toka alivyochukua jiko kawa mvivu..
 
Namwambia hata gadiel hatoshi , anataka beno wkt manula amekuwa bora season 3 mfululizo na uwezo anao basi tu yanga wanapenda vyao tu
Bora kwa kigezo cha clean sheets wakati wapinzani wanafungwa magoli ya offside
 
Back
Top Bottom