Wanachungulia na kutoka, nawasubiri, najua wakiona goli watani quote sana. [emoji41] [emoji41][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] saa hizi wanapita kimya utawaona wakiquote pale Simba ikipata bao.
Ila Nakazia kauli yako. Leo wanalo.
Hahahaa. Kama kawaida tunawarusha roho kidogo Dada.Hahhahah
Nipo dada akee nawaona yanga mmejazana eenh Mungu asaidie tu
ππππ Umeoneeee.Wanachungulia na kutoka, nawasubiri, najua wakiona goli watani quote sana. [emoji41] [emoji41]
Hahahahaha adui yako muombee njaaaHahahaa. Kama kawaida tunawarusha roho kidogo Dada.
Si wajua tena utani wa jadi yaani ni mwendo wa kuombeana njaa tu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanachungulia na kutoka, nawasubiri, najua wakiona goli watani quote sana. [emoji41] [emoji41]
Tupo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] saa hizi wanapita kimya utawaona wakiquote pale Simba ikipata bao.
Ila Nakazia kauli yako. Leo wanalo.
Kweheri [emoji2] [emoji2] [emoji2] wanakuja[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Umeoneeee.
Haisaidii sababu unakwa ushawajua wapo kwa ajili ya matokeo. [emoji23][emoji23]
Hahahaaaa. Hao wanakuja maana mwezi ushaonekana huko.Kweheri [emoji2] [emoji2] [emoji2] wanakuja