Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Yani uwanjani ni kama wapo Simba na Kipa wa Stand tuu...Mpaka sasa Stand United wanautafuta kwa tochi hapa
Wale wa Magoli Mkuje jamaaani.
Leo naona kuna goli naneMkuu mbona umebetia goli chache hivyo?
Hahaha