Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
Download Azam App. Kila kitu live.ukipata nitag mkuu
Usitingishe antennambona kimya?
PoleSimba mnakufa
Watu wana presha mkuumbona kimya?
Mipira ya kurusha!??Yanga wanacheza mipira ya kurusha na faulo,masikini
Kwa Dakika Hizi Za Awali, Yanga Wamezidiwa SanaHuyu refa muda si mrefu ataharibu ladha ya Mpira
Kawaida ya vyuraSimba ikiendelea hivi inashinda hii mechi...Yanga naona wanaruka ruka tu.